FERNANDO SANTOS APATA KAZI POLAND
Ni rasmi sasa mkufunzi wa zamani wa timu ya taifa ya Ureno ya wanaume katika soka Fernando Santos amepewa kibarua cha kuwa mkufunzi mkuu wa timu ya taifa ya Poland. Mkufunzi huyo mwenye umri wa miaka 68 anamrithi Czesław Michniewicz aliyefutwa kazi baada ya kutolewa katika mashindano ya kombe la dunia katika hatua ya raundi ya […]
FERNANDO SANTOS APATA KAZI POLAND Read More »



