Kimataifa

SIONDOKI LIVERPOOL HIVI KARIBUNI – KLOPP

Mkufunzi mkuu wa klabu ya Liverpool Jurgen Klopp amesema hana mpango wa kuondoka klabu hiyo kwa hivi sasa pamoja na kwamba timu hiyo imekuwa haifanyi vizuri. Kocha huyo raia wa Ujerumani amesema anaweza kuondoka tu Liverpool kama atalazimishwa kufanywa hivyo lakini vinginevyo hana huo mpango. Maneno hayo yanatokea kwenye kipindi ambacho Liverpool wanashika nafasi ya

SIONDOKI LIVERPOOL HIVI KARIBUNI – KLOPP Read More »

ARSENAL YABASHIRIWA KUSHINDA LIGI, NEWCASTLE IKIMALIZA NNE BORA

Klabu ya Arsenal imebashiriwa kushinda ligi ya msimu huu wa mwaka 2022/2023 na Supercomputer za kampuni ya FiveThirtyEight. Hii ni baada ya mabingwa watetezi Manchester City kupoteza mechi yao ya ligi wikendi ilopita dhidi ya Manchester United kwa kichapo cha mabao 2-1 huku viongozi wa ligi hiyo Arsenal kushinda mechi yao dhidi ya Tottenham Hotspers

ARSENAL YABASHIRIWA KUSHINDA LIGI, NEWCASTLE IKIMALIZA NNE BORA Read More »