PEP GUARDIOLA KUKOSA MECHI MBILI ZA EPL
Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola anatarajiwa kukosa mechi mbili zijazo baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye mgongo wake hii leo. Pep Guardiola ambaye amekuwa akikabiliwa na maumivu ya mgongo kwa muda ameachiliwa na klabu yake kufanyiwa upasuaji. Kulingana na taarifa ambayo imeachiliwa na Manchster City leo ni kuwa Guardiola atakosa mechi ya Sheffield United pamoja …