Mahakama ya Zamani ya Malindi KUBOMOLEWA

Wizara ya Utumishi wa Umma, Jinsia na Huduma za Jamii kwa ushirikiano na afisi ya Mbunge wa Malindi Amina Mnyazi yapendekeza kubomolewa kwa mahakama ya zamani eneo la Malindi kaunti ya Kilifi ili kujenga HUDUMA CENTER. Mwenyekiti wa idara ya HUDUMA KENYA nchini Benjamin Kai ameelezea kuridhia sehemu iliyochaguliwa kwa ujenzi wa kituo cha kutoa …

Mahakama ya Zamani ya Malindi KUBOMOLEWA Read More »

GAVANA ACHANI AMESEMA SERIKALI KUU INALENGA KUJENGA MASOKO MAWILI KAUNTI YA KWALE

Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani amesema serikali kuu inapania kujenga masoko mengine mawili kaunti ya Kwale kama njia mojawapo ya kuimarisha sekta ya biashara katika kaunti hiyo. Achani amesema masoko hayo yatawapunguzia wenyeji gharama ya kusafiri maeneo ya mbali kwa ajili ya kununua bidhaa mbalimbali. Amesema wanatarajia masoko hayo kuanza kujengwa hivi karibuni. …

GAVANA ACHANI AMESEMA SERIKALI KUU INALENGA KUJENGA MASOKO MAWILI KAUNTI YA KWALE Read More »

HUSSEIN MIJJI AWATAKA WENYEJI WA LAMU KUSHIRIKIANA

Mkurugenzi wa shirika la maendeleo la kijamii la LAMU ACTION DEVELOPMENT INITIATIVE Hussein Mijji ametaja suala la ufisaji kuwa kizingiti kikuu katika kukabiliana na ulanguzi wa dawa za kulevya kaunti ya Lamu. Kwa mujibu wa Mijji baadhi ya maafisa wa serikali hushirikiana na walanguzi wa dawa za kulevya na kujihusisha na vita dhidi ya mihadarati. …

HUSSEIN MIJJI AWATAKA WENYEJI WA LAMU KUSHIRIKIANA Read More »