Mwamba wa Lulu
news
news
- County
- National
- International
- Business
- Sports
KENYA YAPOKEA SHILINGI BILIONI 1.8 KUTOKA KWA TAIFA LA CHINA.
Kenya imenufaika na ufadhili wa shilingi bilioni 1.8, kutoka kwa taifa la Uchina, fedha zitakazo tumika kuboresha hospitali mbalimbali za umma humu nchini. Makubaliano ya...
Read MoreTUME YA ARDHI YAAHIDI KUTATUA UTATA WA ARDHI YA UWANJA WA NDEGE MJINI MALINDI KAUNTI YA KILIFI.
Tume ya ardhi nchini imesema kuwa itatoa taarifa kamili kuhusiana na malipo ya fidia, kwa waathiriwa wa upanuzi wa uwanja wa ndege wa Malindi kaunti...
Read MoreJAMII ENEO LA MAGARINI NA KAUNTI YA KILIFI KWA JUMLA YASISITIZWA KUTUNZA MAZINGIRA.
Wakfu wa benki ya I&M, unapania kupanda miti milioni kumi katika maeneo mbali mbali ya taifa hili, kufikia mwaka ujao wa 2026. Haya ni kwa...
Read MoreWAPWANI WAPONGEZA UTEUZI WA FIKIRINI JACOBS KWENYE WADHIFA WA KATIBU KATIKA SERIKALI KUU.
Gavana wa kaunti ya Kilifi amejiunga na wakaazi wengine wa kaunti hii, katika kumpongeza kiongozi wa vijana kwenye chama cha ODM, kaunti ya Kilifi, Fikirini...
Read MoreNAIBU WA RAIS ABRAHAM KINDIKI ATAYARISHA NJIA YA RAIS WILLIAM RUTO ENEO LA MLIMA KENYA.
Naibu rais Prof Kithure Kindiki amekagua miradi ya maendeleo inayoendelea...
Read MoreGACHANGWA AWEKA WAZI NANI ATAKAYE KUWA MWENYEKITI WA CHAMA CHAKE.
Aliyekuwa naibu wa rais katika taifa hili Geoffrey Rigathi Gachagwa,...
Read MoreWIZARA YA USALAMA YAPANIA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUFANIKISHA HUDUMA ZAKE KWA UMMA.
Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen amesema kuwa serikali...
Read MoreRAIS WILLIAM RUTO AANZA SAFARI YA KUMCHIMBA WAZIRI WAKE JUSTINE MUTURI.
Rais William Ruto amemkashifu hadharani waziri wa utumishi wa umma...
Read MoreMOTSEPE ACHAGULIWA TENA
Patrice Motsepe amechaguliwa tena kama rais wa shirikihso la soka...
Read MoreWALIOMHUDUMIA MARADONA KUHUKUMIWA
Wajumbe saba wa timu ya matibabu waliomtibu mchezaji maarufu wa...
Read MoreMARUFUKU YA POGBA YAISHA
Kiungo wa timu yua taifa ya Ufaransa Paul Labile Pogba...
Read MoreNo posts found!
BENNI McCarthy KUJARIBIWA KESHO
Rais wa fkf hapa nchini Hussein Mohammed amewataka wachezaji walioteuliwa...
Read MoreAFC LEOPARDS WATANGOJA SANA
Juhudi za klabu ya AFC Leopards za kumaliza ukame wao...
Read MoreRATIBA YA LIGI YA UKANDA WA PWANI YATOKA
Ratiba ya ligi ya kanda ya Pwani ya Zone B...
Read MoreBENNI McCARTHY AANZA KAZI
Mkufunzi wa Timu ya Taifa ya wanaume Benni McCarthy, amekitaja...
Read MoreNewsletters
No posts found!
lulu fm
Mombasa & Kwale……………………… 91.0 FM
Malindi & Kilifi……………………………. 97.1 FM
Voi & Taita Taveta……………………….. 106.8 FM
Lamu…………………………………………….. 95.3 FM
contact
Address……………… Malindi Complex, Lamu Road
Phone…………………. +254720997835 | +254780971111 | +254796050444
Email……………………. sales@lulufm.co.ke