Paps Mkare

BENNI McCarthy KUJARIBIWA KESHO

Rais wa fkf hapa nchini Hussein Mohammed amewataka wachezaji walioteuliwa na mkufunzi Benni McCarthy kuipeperusha bendera ya Kenya vyema katika majukumu yao ya kitaifa watakapokuwa wanachuana na Gambia wiki hii kwenye mechi ya kutafuta tikiti ya kufuzu kwa kombe la dunia mwaka 2026. Hussein kupitia ukurasa wake rasmi wa facebook ametaja kuwa walifanya kikao cha […]

BENNI McCarthy KUJARIBIWA KESHO Read More »

RATIBA YA LIGI YA UKANDA WA PWANI YATOKA

Ratiba ya ligi ya kanda ya Pwani ya Zone B Inayojumuisha Kaunti za Kilifi, lamu na Tanariver, hatimaye imeweza kutoka  timu thelathini zilizogawanywa kwenye makundi mawili, zikijitosa kwenye Kinyang’anyiro hicho cha Kusaka nafasi kwenye divisheni ya pili. Kundi A litazikutanisha Timu kumi na tano ikiwa ni pamoja na Washindi wa ligi ya Kaunti ya Kilifi

RATIBA YA LIGI YA UKANDA WA PWANI YATOKA Read More »