TONNY NGALA

NAIBU WA RAIS ABRAHAM KINDIKI ATAYARISHA NJIA YA RAIS WILLIAM RUTO ENEO LA MLIMA KENYA.

Naibu rais Prof Kithure Kindiki amekagua miradi ya maendeleo inayoendelea katika kaunti ya Murang’a, kabla ya ziara ya rais William Ruto katika eneo hilo juma lijalo. Akizungumza katika eneo bunge la Mathioya, baada ya kukagua soko la Gikoe, pamoja na mradi wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu, amesema kuwa licha ya kila mkenya kuwa […]

NAIBU WA RAIS ABRAHAM KINDIKI ATAYARISHA NJIA YA RAIS WILLIAM RUTO ENEO LA MLIMA KENYA. Read More »

GACHANGWA AWEKA WAZI NANI ATAKAYE KUWA MWENYEKITI WA CHAMA CHAKE.

Aliyekuwa naibu wa rais katika taifa hili Geoffrey Rigathi Gachagwa, ameendeleza kampeni zake dhidi ya rais William Ruto, wakati rais akitarajiwa kufanya ziara katika eneo la mlima kenya wiki ijayo. Gachangwa ameibua madai ya kuhadaiwa na rais William Ruto, kabla yake kuridhia mwaliko wa kujiunga na muungano wa Kenya kwanza na hata kupewa nafasi ya

GACHANGWA AWEKA WAZI NANI ATAKAYE KUWA MWENYEKITI WA CHAMA CHAKE. Read More »

KENYA YAPOKEA SHILINGI BILIONI 1.8 KUTOKA KWA TAIFA LA CHINA.

Kenya imenufaika na ufadhili wa shilingi bilioni 1.8, kutoka kwa taifa la Uchina, fedha zitakazo tumika kuboresha hospitali mbalimbali za umma humu nchini. Makubaliano ya utoaji wa msaada huo, yalitiwa saini na Waziri wa Fedha humu nchini John Mbadi na Balozi wa China katika taifa hili Guo Haiyan, katika makao makuu ya afisi za Wizara

KENYA YAPOKEA SHILINGI BILIONI 1.8 KUTOKA KWA TAIFA LA CHINA. Read More »