Tonny Ngala

MWAKILISHI WA KIKE KAUNTI YA KILIFI AMTAKA WAZIRI KINDIKI KUCHUNGUZWA KUHUSIANA NA MAUAJI YA ENEO LA SHAKAHOLA.

Mwakilishi wa kike kaunti ya Kilifi Getrude Mbeyu anamtaka waziri wa usalama wa ndani humu nchini profesa Kithure Kindiki, kuchunguzwa kuhusiana na hatua ya yeye kutokuwa na ufahamu, kuhusiana na vifo vya watu 100 katika eneo la Shakahola kaunti hii ya Kilifi. Kulingana na Mbeyu ni kuwa waziri huyo hajaweka jitihada zaidi, katika suala la […]

MWAKILISHI WA KIKE KAUNTI YA KILIFI AMTAKA WAZIRI KINDIKI KUCHUNGUZWA KUHUSIANA NA MAUAJI YA ENEO LA SHAKAHOLA. Read More »

JAMII YAONYWA DHIDI YA KUWASHUTUMU WAUMINI WA DINI YA KIKRISTO.

Mkewe naibu rais Rigathi Gachagua, Kasisi Dorcas Gachagua amesema kuwa makanisa na wakristo hawapaswi kukemewa kwa jumla kutokana na makosa ya viongozi wachache waliojitambulisha kuwa wachungaji. Mkewe naibu rais ameyasema haya akiikashifu itikadi potovu inayoendelezwa na mchungaji mwenye utata, Paul Mackenzie akimtaja kuwa mhalifu hukua akisisitiza kuwa makosa ya Mackenzie yasilimbikiziwe wachungaji wote wala kanisa

JAMII YAONYWA DHIDI YA KUWASHUTUMU WAUMINI WA DINI YA KIKRISTO. Read More »

MCHUNGAJI WA KANISA LA NEW LIFE KAUNTI YA KILIFI EZEKIEL ODERO AKAMATWA NA MAAFISA WA POLISI.

Mshirikishi wa utawala kanda ya Pwani Rodah Onyancha amedhibitisha kukamatwa kwa mchungaji wa kanisa la New Life Prayer Center, Ezekiel Odero katika eneo la Mavueni kaunti ya Kilifi Mapema hii leo. Kulingana na mshirikishi huyo ni kuwa mchungaji huyo, alikamatwa kutokana na kuwepo kwa madai ya vifo vya baadhi ya waumini wake, ambavyo wanadai vimekuwa

MCHUNGAJI WA KANISA LA NEW LIFE KAUNTI YA KILIFI EZEKIEL ODERO AKAMATWA NA MAAFISA WA POLISI. Read More »