CHADI ALALAMIKIA HELA YA UHAMISHO FKF
Mkufunzi wa klabu ya Gabba United Joshua Chadi wa klabu inayoshiriki ligi ya kaunti ya Kilifi kwa sasa amepinga sheria mpya iliyopendekezwa ya ada ya uhamisho wa wachezaji katika ligi ya eneo bunge la Malindi. Kulingana na Chadi ada ya shilingi 3000 ambayo ilipendekezwa ni kubwa mno na haifai kuwa kwani tayari kwa sasa vilabu […]