Kitaifa

NAIBU WA RAIS AVILAUMU VYOMBO VYA DOLA NCHINI

Naibu rais dkt. William Ruto amesema kuwa vyombo vya dola vinatumia vitisho kwa minajili ya kudhoofisha kampeni za HUSTLER   nchini. Akizungumza katika kaunti ya Nairobi, Ruto amesema kuwa mwaka huu ni mwaka wa wanyonge kuchukua nafasi za uongozi nchini licha ya kuwa wanakumbwa na wingi wa changamoto. Mwaniaji huyo wa urais amesema kuwa kamwe hawatatikiswa …

NAIBU WA RAIS AVILAUMU VYOMBO VYA DOLA NCHINI Read More »

BANDARI YAPAA NGAZI KWA KUIPIGA SOFAPAKA HUKO NYAYO

Vijana wa pwani Bandari FC wameibuka kidedea katika mtanange  uliochezwa Nairobi katika dimba la Nyayo kwa kuilaza Sofapaka bao 1-0. Bao lililotiwa kimyani na Danson Chetambe  mnamo dakika ya 85 liliwafanya Bandari kukwea hadi nafasi ya tatu katika msimamao wa ligi  huku Vihiga ikirangwa rangwa  magoli 4-0  na Kenya Police wakati KCB ikichukua ushindi wa …

BANDARI YAPAA NGAZI KWA KUIPIGA SOFAPAKA HUKO NYAYO Read More »

USHIRIKIANO WA KENYA NA UCHINA WA CHANGIA MIUNDO MSINGI BORA HUMU NCHINI.

Rais Uhuru Kenyatta amepongeza ushirikiano mwema ulioko kati ya taifa hili na lile la Uchina, kwa kile alichosema kuwa umechangia katika kuboreka kwa taifa hili kimaendeleo. Akizungumza jijini Nairobi baada ya ukaguzi wa baadhi ya barabara zilizo jengwa kwa serikali ya Kenya kwa ushirikiano na taifa hilo katika kaunti ya Nairobi, Rais Kenyatta amesema kuwa …

USHIRIKIANO WA KENYA NA UCHINA WA CHANGIA MIUNDO MSINGI BORA HUMU NCHINI. Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.