Kitaifa

MABINGWA WATETEZI VIHIGA QUEENS WASAJILI WACHEZAJI KULINDA UBINGWA

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya FKF ya kinadada nchini Kenya Vihiga Queens sasa watategemea sajili zao mpya msimu ujao katika harakati ya kutetea ubingwa wao. Vihiga Queens waliomaliza msimu uliopita bila kupioteza mechi hata moja wamesajili wachezaji sita watakaowasaidia akiwemo Ivy Makhoha kutoka Bunyore Starlets, Eunice Musila wa shule ya upili ya kinadada ya

MABINGWA WATETEZI VIHIGA QUEENS WASAJILI WACHEZAJI KULINDA UBINGWA Read More »