Michezo

ALFRED CHOLE AELEZA SABABU ZA KUCHANA NA MOFA

Alfred Chole Mkufunzi wa MOFA Klabu inayamilikiwa na Nahodha wa Harambee Stars Michael Olunga, ameeleza sababu zake za Kujihuzulu, kufuatia Kipigo cha Magoli mawili sufuri na Mombasa United siku ya Jumatatu huko Serani. Chole ambaye alichukua Hatamu hio mwanzoni mwa msimu Huu alipoachana na APS Bomet, ameelezea kuwepo na mazingira Magumu ya Kufanya kazi kitu

ALFRED CHOLE AELEZA SABABU ZA KUCHANA NA MOFA Read More »

RUDIGER NA ALABA WAPONA, VINI AKIPANGA KUBAKI REAL

Beki wa Ujerumani Antony Rudiger pamoja na David Alaba ni kati ya wachezaji wa Real Madrid ambao wanatarajiwa kurejea kikosini baada ya kumaliza kuuguza majeraha yao. Wachezaji hao walikosekana katika mechi ya mchujo dhidi ya Manchster City hiyo jana na kumfanya kocha wa Real Don Carlo Ancelloti kumtumia beki mchanga Raul Asencio raia wa Uhispania.

RUDIGER NA ALABA WAPONA, VINI AKIPANGA KUBAKI REAL Read More »