YOUNG BULLS YAKOSA KUHESHIMU RATIBA
Meneja wa klabu ya Young Bulls kutoka Malindi kaunti ya Kilifi Hussein Captain Garga anasema klabu hiyo imepata pigo kubwa baada ya kushindwa kuheshimu ratiba ya wikendi hii dhidi ya Marafiki Fc pale klabu hiyo ilishindwa kusafiri hadi kaunti ya Nyeri Kulingana na Garga klabu hiyo inapitia changamoto chungu nzima jambo ambalo linafanya timu hiyo […]