Janet Mumbi

TOFAUTI ZAZIDI KUSHUHUDIWA BAINA ABDULSWAMAD NA SHAHBAL

Mbunge wa Mvita kaunti ya Mombasa Abdulswamad sheriff Nassir amemtaka mpinzani wake wa karibu mfanyibiashara Suleiman Shahbal kukoma kumshutumu katika mikutano yake ya kisiasa na badala yake auze sera zake kwa wananchi. Abdulswamad amesema kuwa ni wakati sasa wa viongozi kutangaza sera zao sambamba na kazi walizotekelezea wananchi na wala sio kupiga siasa za kashfa …

TOFAUTI ZAZIDI KUSHUHUDIWA BAINA ABDULSWAMAD NA SHAHBAL Read More »

WASOMALI WALIOKO KAUNTI YA KILIFI WALALAMIKIA KUTELEKEZWA

Jamii ya Wasomali neo la Mariakani kaunti ya Kilifi inalalamikia kutelekezwa na baadhi ya viongozi katika serikali ya kaunti hii. Jamii hiyo imesema haijawahi kunufaika katika uongozi wa kaunti ya Kilifi  ikisema imekuwa ikishirikishwa katika upigaji wa kura ilhali baada ya uchaguzi hawatambuliwi tena. Aidha jamii hiyo imedai kuwa imekuwa ikibaguliwa hasa katika hazina ya …

WASOMALI WALIOKO KAUNTI YA KILIFI WALALAMIKIA KUTELEKEZWA Read More »

MICHAEL KINGI KUWANIA UBENGE KWA MARA YA PILI

Mbunge wa Magarini kaunti ya Kilifi Michael Kingi amesema anapania kuhifadhi wadhifa wake katika eneo ubunge hilo, na wala sio kuwania wadhfa wa Ugavana kama alivyokuwa ametangaza hapo awali. Akizungumza na kituo hiki, Kingi amesema maamuzi hayo yametokana na shinikizo kutoka kwa wakaazi wa eneo hilo, ambao wametaka kuhifadhi nafasi hiyo ya uongozi. Kulingana na …

MICHAEL KINGI KUWANIA UBENGE KWA MARA YA PILI Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.