Kitaifa

GRAHAM POTTER KUANZA KIBARUA KIPYA NA CHELSEA USIKU WA LEO

Mkufunzi mpya wa klabu ya  Chelsea Graham Potter anatarajiwa kuanza jukumu lake la kwanza na klabu yake mpya darajani Stamford Bridge jioni ya leo wakati ambapo the Blues watakuwa wanavaana na RB Salzberg katika mechi ya pili ya hatua ya makundi. Chelsea ilimfuta kazi mkufunzi wao Tomas Tuchel baada ya kichapo cha aibu cha bao […]

GRAHAM POTTER KUANZA KIBARUA KIPYA NA CHELSEA USIKU WA LEO Read More »

TUSKER YAJITAYARISHA KWA MSIMU MPYA

Mkufunzi wa wanamvinyo Tusker FC mwite Robert Matano amesema kwamba kambi yake iko imara wanapojitayarisha kwa msimu mpya na wachezaji wapya waliowasajili katika dirisha la uhamisho lililofungwa wiki jana. Kulingana na Matano uongozi wa klabu hiyo umewasaidia kuunda kikosi kitakachowawezesha kungangania taji la ligi kuu msimu ujao ambao huenda ukawa ubingwa wao wa tatu mfululizo

TUSKER YAJITAYARISHA KWA MSIMU MPYA Read More »