Kitaifa

PAUL BITOK ANAIMANI MALKIA STRIKERS WATAFANYA VYEMA KWENYE MASHINDANO YA DUNIA

Mkufunzi mkuu wa Malkia Strikers Paul Bitok anaimani kwamba wanadada hao watafanya vyema katika mashindano ya dunia ya mpira wa wavu yanayotarajiwa kufanyika tarehe 23 mwezi huu hadi 15 mwezi October katika taifa la Uholanzi pamoja na Poland. Bitok amesema kwamba mazoezi ya miezi miwili waliyopiga kambi katika taifa la Brazil yamewasaidia kuimarika zaidi na […]

PAUL BITOK ANAIMANI MALKIA STRIKERS WATAFANYA VYEMA KWENYE MASHINDANO YA DUNIA Read More »

BERNARD MWALALA ASAJILIWA NA ULINZI STARS

Klabu ya Ulinzi Stars imemsajili Bernard Mwalala kama mkufunzi wao mpya klabu hiyo inapoelekea msimu mpya wa mwaka 2022/2023. Mwalala ambaye sasa anachukua nafasi ya Benjamin Nyangweso katika uongozi wa klabu hiyo atasaidia na Vincent Otieno pamoja na mkufunzi Hamisi Abdalla. Mkufunzi Mwalala sasa atachukuwa majukumu ya kukiongoza kikosi hicho katika mechi za kirafiki kabla

BERNARD MWALALA ASAJILIWA NA ULINZI STARS Read More »

VILABU VYA KPL VYAOMBA UHAKIKA WA MWANZO WA MSIMU MPYA

Mkufunzi wa klabu ya AFC Leopards Patrick Aussems ameomba uongozi wa soka kutoa thibitisho tosha la iwapo msimu mpya wa mwaka 2022/2023 utaanza lini kwani mpaka sasa vilabu vingi viko gizani kuhusiana na mstakabali wa soka nchini Kenya. Amekuwa akiyasema hayo wakati ambapo shirikisho la soka nchini Kenya linasalia kuwa haramu baada ya kuvunjwa na

VILABU VYA KPL VYAOMBA UHAKIKA WA MWANZO WA MSIMU MPYA Read More »