CHAMA CHA DCP KUUNGA MKONO WAGOMBEA WA VYAMA MBADALA KATIKA MUUNGANO WA UPINZANI.
Chama cha DCP kimeridhia kuunga mkono viongozi wa vyama tofauti katika mrengo upinzani, kwenye changuzi ndogo zinazo tayariwa kufanyika katika maeneo tofauti ya taifa, mwezi novemba mwaka huu wa 2025. Kinara wa chama hicho Rigathi Gachagua, amesema kuwa maeneo ambayo chama hicho kitaunga mkono vyama vingine, ni pamoja na Mbeere Kaskazini kaunti ya Embu, wadi […]
CHAMA CHA DCP KUUNGA MKONO WAGOMBEA WA VYAMA MBADALA KATIKA MUUNGANO WA UPINZANI. Read More »



