FAMILIA ZILIZO POTEZA WAPENDWA WAO ZATAKIWA KUJITOKEZA KUTAMBUA MIILI ILIYOFUKULIWA KWA BINZARO.
Wito umetolewa kwa wakenya waliopoteza wapendwa wao kufika katika mahakafani ya hospitali kuu ya Malindi kaunti ya Kilifi ili kufanya fanyiwa uchunguzi wa chembechembe za DNA, kubaini iwapo wapendwa wao ni kati ya wale walioangamia katika msitu wa Kwa Binzaro. Haya ni kwa mujibu wa mshirikishi mkuu wa utawala kanda ya Pwani, Rhoda Onyancha ambaye […]



