WAUMINI WA KANISA LA PCEA MALINDI KAUNTI YA KILIFI WAONYWA DHIDI YA ITIKADI POTOFU.
Waumini wa kanisa la PCEA eneo hili la Malindi kaunti ya Kilifi na Pwani kwa jumla, wametakiwa kuweka jitihada zaidi katika masuala ya elimu na kujitenga na imani potofu inayokashifu masuala ya elimu katika eneo hili. Kulingana na mmoja wa viongozi katika muungano wa makanisa ya dhehebu hilo ukanda huu wa Pwani Hiram Githaiga, amesema […]
WAUMINI WA KANISA LA PCEA MALINDI KAUNTI YA KILIFI WAONYWA DHIDI YA ITIKADI POTOFU. Read More »



