Tonny Ngala

SERIKALI YAPANIA KUJENGA MAKAVAZI KATIKA MSITU WA SHAKAHOLA KAUNTI YA KILIFI.

Huenda serikali ya kitaifa ikajenga makavazi katika eneo la Shakahola ili kuwapa wakenya kumbukumbu ya vifo vya wakenya zaidi ya 100 katika eneo hilo kutokana na masuala ya itikadi kali. Haya ni kwa mujibu wa waziri wa usalama wa ndani nchini Kithure Kindiki ambaye amesema kuwa bado serikali inaendelea kujadiliana kuhusiana na mwelekeo ambao serikali […]

SERIKALI YAPANIA KUJENGA MAKAVAZI KATIKA MSITU WA SHAKAHOLA KAUNTI YA KILIFI. Read More »

SHUGHULI ZA UPASUAJI WA MIILI YA SHAKAHOLA ZAANZA RASMI.

Shughuli za upasuaji wa miili iliyofukuliwa katika msitu wa Shakahola kule eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi zimeanzishwa rasmi hii leo na maafisa wa idara ya afya wakiongozwa na mwanapatholojia mkuu wa serikali Johansen Oduor. Kulingana na waziri wa usalama wa ndani profesa Kithure Kindiki shughuli hiyo ya upasuaji wa miili takriban 109 inatarajiwa

SHUGHULI ZA UPASUAJI WA MIILI YA SHAKAHOLA ZAANZA RASMI. Read More »

RAIS WILLIAM RUTO AAHIDI KUTEUA MAKAMISHNA WA KUCHUNGUZA VIFO VYA SHAKAHOLA KAUNTI YA KILIFI.

Rais William Ruto amesema atateua jopo la makamishna ambao watatwikwa jukumu la kuangazia chanzo cha imani na mafunzo ya itikadi potofu, katika eneo la Shakahola eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi. Kulingana na rais ni kuwa makamishna hao, watachunguza baadhi ya maafisa wa idara ya usalama, wanaodaiwa kuzembea katika utendakazi wao na kuruhusu mchungaji

RAIS WILLIAM RUTO AAHIDI KUTEUA MAKAMISHNA WA KUCHUNGUZA VIFO VYA SHAKAHOLA KAUNTI YA KILIFI. Read More »