Tonny Ngala

SERIKALI YA BADILI MFUMO WA UFADHILI WA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU.

Serikali ya kitaifa imebadili mfumo wa ufadhili wa wavyuo vikuu nchini pamoja na taasisi za kiufundi nchini hali ambayo inadaiwa kuleta afueni kwa baadhi ya wanafuni wa taasisi hizo nchini. Akitangaza mabadiliko hayo baada ya kukoa na wadau wa elimu ya vyuo vikuu na taasisi hizo za kiufundi katika ikulu ya Nairobi, Rais William Ruto […]

SERIKALI YA BADILI MFUMO WA UFADHILI WA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU. Read More »

MCHUNGAJI EZEKIEL ODERO AWASILISHA OMBI LA MAHAKAMA KUTOMZUIA KWA SIKU 30.

Mawakili wanaomuwakilisha mchungaji wa kanisa la new life prayer centre, Mavueni,Ezekiel Odero kaunti ndogo ya Kilifi kaskazini kaunti ya Kilifi wamewasilisha ombi kwenye mahakama ya Shanzu la kuzuilia mahakama dhidi ya kutoa uamuzi wa kutoachiliwa kwa mchungaji huyo. Wakizungumza nje ya mahakama hiyo hii leo wakiongozwa na Danstan Omari, mawakili hao wametaka mahakama kuwasikiliza na

MCHUNGAJI EZEKIEL ODERO AWASILISHA OMBI LA MAHAKAMA KUTOMZUIA KWA SIKU 30. Read More »

MAHAKAMA YA MALINDI KAUNTI YA KILIFI YAMUACHILIA MCHUNGAJI TATA PAUL MACKENZIE.

Mahakama ya Malindi kaunti ya Kilifi imemuachilia huru mhubiri tata Paul Mackenzie na washtakiwa wengine 8 waliokuwa wameshitakiwa pamoja naye. Jaji wa mahakama hiyo Ivy Wasike, ambaye pia ni naibu msajili wa mahakama hii  ya Malindi, amesema kuwa mahakama haina uwezo wa kuwapa dhamana washukiwa hao na kisha kufunga mashtaka yanayowakabili washtakiwa hao. Hii ni baada ya upande wa

MAHAKAMA YA MALINDI KAUNTI YA KILIFI YAMUACHILIA MCHUNGAJI TATA PAUL MACKENZIE. Read More »