WANAHABARI WATAKIWA KUWAFICHUA VIONGOZI WA KIDINI WANAOENDELEZA ITIKADI POTOFU NCHINI.
Spika wa bunge la kitaifa nchini Moses Masika Wetanga, ameitaka wizara ya usalama nchini kuwaondelea wanahabari kikwazao, cha wao kutoingia ndani ya msitu wa Shakahola, wakati wakiendeleza zoezi la kufukua miili ya waumini wa kanisa la Good News International, linaloongozwa na mchungaji mwenye itikadi kali Paul Mackenzie. Kwa mijibu wa spika ni kuwa wakenya kwa […]
WANAHABARI WATAKIWA KUWAFICHUA VIONGOZI WA KIDINI WANAOENDELEZA ITIKADI POTOFU NCHINI. Read More »



