Uncategorized

WITO WATOLEWA KWA IEBC KUWAZUIA WANASIASA WACHOCHEZI

Muungano wa wachungaji kaunti ya Kwale sasa unaitaka tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini (IEBC) kuwazuia wanasiasa watakaochochea vurugu msimu huu wa kampeni za siasa. Mwenyekiti wa muungano huo Askofu Peter Mwero ameitaka tume ya IEBC kuwachukulia hatua hiyo watakaopatikana wakiwachochea wananchi kuzua vurugu kabla, wakati na baada ya uchaguzi. Aidha, Mwero amewataka wanasiasa …

WITO WATOLEWA KWA IEBC KUWAZUIA WANASIASA WACHOCHEZI Read More »

ADUDA AMTAKA AMINA MOHAMED KULETA MWELEKEO KWENYE SOKA BAADA YA KAMATI KUONDOKA

Huku  kamati shikilizi ya shirikisho la soka FKF ikiwa imekamilisha muda wake wa miezi sita mamlakani baada ya kuteuliwa na waziri wa michezo balozi Amina Mohamed mwaka jana, Lodvrick Aduda ambaye ni msimamizi wa mchezo wa soka amemtaka waziri wa michezo kuweka hadharani hatua itakayochukuliwa baada ya kamati hiyo kuachana na shughuli za FKF. Aduda …

ADUDA AMTAKA AMINA MOHAMED KULETA MWELEKEO KWENYE SOKA BAADA YA KAMATI KUONDOKA Read More »

MANCHESTER CITY YAKAUSHWA UEFA NA REAL MADRID KWA MABAO YA GHAFLA

Klabu ya Manchester City imetolewa na Real Madrid katika hatua ya nusu fainali kwenye mechi ya mkondo wa pili walipovaana na vijana wa Carlo Ancelotti Real Madrid kwa kichapo cha mabao 3-1. Manchester City inayonolewa na kocha Pep Guardiola iliingia dimba la Santiago Bernabeu ikiwa na faida ya goli moja baada ya mchezo wa awali …

MANCHESTER CITY YAKAUSHWA UEFA NA REAL MADRID KWA MABAO YA GHAFLA Read More »

SUBSCRIBE TO OUR E- NEWSLETTER

Subscribe to our mailing list and get interesting stuff and updates to your email inbox.