TONNY NGALA

WITO WA UMOJA WATOLEWA KWA VIONGOZI NA WANANCHI KAUNTI YA KWALE.

Wanasiasa Kaunti ya Kwale wameomba jamii katika eneo hilo, kuweka Kando tofauti zao na kushirikiana na viongozi walio mamlakani. Wakiongozwa na mwakilikishi wadi wa Kasemeni Victor Safari Nyanja, amesema kwamba maeneo mengi ya Kaunti hiyo yamekosa maendeleo kutoka kwa serikali kuu, kutokana na hatua ya baadhi ya viongozi kupinga uongozi walioko mamlakani kitaifa. Akihutubia jamii […]

WITO WA UMOJA WATOLEWA KWA VIONGOZI NA WANANCHI KAUNTI YA KWALE. Read More »

MARTHA KARUA AWATAKA WAKENYA KUCHAGUA RAIS WA KIKE MWAKA 2027.

Kiongozi wa chama cha PLP (Peoples Liberation Party), Martha Karua amewataka wakenya kujaribu uongozi wa wanawake katika nafasi ya urais mwaka 2027. Kulingana na Karua kwa mda mrefu, wakenya wamekuwa wakiunga mkono wanaume ambao wamekosa kuwatekelezea maendeleo kama inavyostahili. Akizungumza kula kaunti ya Isiolo, Karua ametangaza kuwa atawania urais mwaka 2027 na hivyo kutoa wito

MARTHA KARUA AWATAKA WAKENYA KUCHAGUA RAIS WA KIKE MWAKA 2027. Read More »

RAILA ODINGA AAHIDI KUSAIDIA JAMII YA KWALE KUPATA HAKI DHIDI YA MZOZO WA ARDHI YA MSIKITI CONGO.

Kinara wa ODM, Raila Odinga sasa anatisha kuwasilisha kesi mahakamani kuhusu utata uliogubika msikiti wa Congo kule kaunti ya Kwale. Raila aliyezuru eneo hilo, amekashifu mipango ya baadhi ya watu aliowataja kuwa matapeli kujaribu kuinyakua ardhi hiyo ya ekari 16, iliyo na msikiti wa jadi wa Congo. Raila amesema alitenga ardhi hiyo alipokuwa Waziri Mkuu

RAILA ODINGA AAHIDI KUSAIDIA JAMII YA KWALE KUPATA HAKI DHIDI YA MZOZO WA ARDHI YA MSIKITI CONGO. Read More »