LIGI ZITAANZA MWISHO WA MWEZI WA JANUARI – MWABATI
Mwekahazina wa shirikisho la soka la FKF tawi la eneo bunge la Malindi Jonson Mwabati amehakikishia vilabu vya mashinani kwamba masimu mpya wa ligi hiyo utaanza rasmi mwishoni mwa mwezi huu wa Januari. Akizungumza na tama la spoti jana katika uwanja wa shule ya upili ya wavulana ya Malindi alisema kwamba kwa sasa vilabu vingi […]
LIGI ZITAANZA MWISHO WA MWEZI WA JANUARI – MWABATI Read More »



