TODD BOEHLY ATOA SABABU YA KUMFUTA KAZI MKUFUNZI THOMAS TUCHEL
Mmiliki mpya wa klabu ya Chelsea, Todd Boehly amesema kwamba uamuzi wa kumfuta kazi mkufunzi Thomas Tuchel hauhusiani kabisa na kupoteza kwa mechi ya klabu bingwa dhidi ya Dynamo Zagreb wiki iliyopita. Bilionea huyo wa Marekani amesema kwamba kama klabu walikuwa na malengo ya kuanza safari mpya ya kukarabati kikosi hicho kuanzia juu […]
TODD BOEHLY ATOA SABABU YA KUMFUTA KAZI MKUFUNZI THOMAS TUCHEL Read More »


