Kimataifa

NIGER NA MADAGASCAR KUTIFUANA USIKU WA LEO, KUTAFUTA MSHINDI WA TATU NA NNE

Mechi ya kutafuta msindi wa tatu na wanne katika mashindano ya mataifa bingwa Afrika maarufu kama CHAN itakuwa inarindimwa  usiku wa wa leo ambapo timu ya taifa ya Madagascar itakuwa inashuka dimbani dhidi ya Niger saa nne usiku. Fainali za mashindano hayo zitakuwa zinachezwa kesho ambapo timu ya taifa ya Algeria, waandaaji wa mashindano haya […]

NIGER NA MADAGASCAR KUTIFUANA USIKU WA LEO, KUTAFUTA MSHINDI WA TATU NA NNE Read More »