Kimataifa

FLAMENGO YAKOSA FAINALI, REAL MADRID IKITARAJIA KUJUA HATMA YAO LEO

Klabu kutoka Brazil  Flamengo usiku wa kuamkia leo imeshishiwa kichapo cha mabao 3-2 dhidi ya Al Hilal ya Misri katika mechi ya semi fainali ya mashindano ya Fifa Club World mashindano yanayoendelea nchini Morocco. Vijana wa mkufunzi Carlo Anceloti waite Real Madrid watakuwa wanashuka dimbani usiku wa leo dhidi ya Al Ahly ya Misri katika […]

FLAMENGO YAKOSA FAINALI, REAL MADRID IKITARAJIA KUJUA HATMA YAO LEO Read More »

MASON GREEENWOOD APATA UHURU BAADA YA MASHTAKA DHIDI YAKE KUONDOLEWA

Ni rasmi sasa kinda wa timu ya taifa ya uingereza pamoja na klabu ya Manchester united mwite Mason Greenwood ameondolewa mashtaka yote yanayofungamana na ubakaji  yaliyowasilishwa kortini dhidi yake. Mason Greenwood mwenye umri wa miaka 21  alikamatwa mapema mwaka jana baada ya madai kuibuka kwamba amehusika kwenye shambulio la ubakaji hasa baada ya  picha na

MASON GREEENWOOD APATA UHURU BAADA YA MASHTAKA DHIDI YAKE KUONDOLEWA Read More »