FLAMENGO YAKOSA FAINALI, REAL MADRID IKITARAJIA KUJUA HATMA YAO LEO

Klabu kutoka Brazil  Flamengo usiku wa kuamkia leo imeshishiwa kichapo cha mabao 3-2 dhidi ya Al Hilal ya Misri katika mechi ya semi fainali ya mashindano ya Fifa Club World mashindano yanayoendelea nchini Morocco.

Vijana wa mkufunzi Carlo Anceloti waite Real Madrid watakuwa wanashuka dimbani usiku wa leo dhidi ya Al Ahly ya Misri katika semi fainali ambapo mshindi kati yao atakuwa anavaana na Al Hilal kwenye fainali huku atakayepoteza kukipiga dhidi ya Flamengo, kutafuta mshindi wa tatu na wanne mtawalia.