Kimataifa

NAMBA TATU ZA KLOPP ZAREJEA NA KUMPA TUMAINI

Mkufunzi mkuu wa klabu ya Liverpool Jergen Klopp amesema kwamba fowadi wa ureno Diogo Jota, beki Virgil Van Dijk pamoja na Roberto Firmino watashirikishwa katika mechi ya usiku wa leo dhidi ya Everton katika dabi ya Merseyside   itakayorindimwa katika dimba la Anfield saa tano usiku. Mkufunzi huyo raia wa Ujerumani anasema kwamba ako tayari kuchukua […]

NAMBA TATU ZA KLOPP ZAREJEA NA KUMPA TUMAINI Read More »

MANCHESTER UNITED KUUZA WACHEZAJI WATATU NA KUMNUNUA HARRY KANE

Klabu ya Manchester United inalenga kuwauza wachezaji watatu katika dirisha la uhamisho lijalo ili kuangalia uwezekano wa kumnunua Harry Kane mchezaji wa Totenham Hotspurs. Baadhi ya wachezaji ambao huenda wakauzwa klabuni hapo ni pamoja na beki Harry Maguire, Alex Telles lakini pia fowadi wa timu ya taifa ya Ufaransa Antony Martial mwenye umri wa miaka

MANCHESTER UNITED KUUZA WACHEZAJI WATATU NA KUMNUNUA HARRY KANE Read More »