Kimataifa

MECHI MBILI KUBWA ZA UEFA KURINDIMWA USIKU WA LEO

Mashindano ya klabu bingwa ulaya hatua ya 16 bora yatakuwa yanarejea usiku wa leo na mechi mbili zimeratibiwa kurindimwa. Vijana wa mkufunzi Antonio Conte Tottenham Hotspurs usiku wa leo watakuwa wanasafiri kukipiga dhidi ya mabingwa mara saba wa klabu bingwa Ulaya Ac Milan katika dimba la San Siro. Katika dimba lengine leo ni kwamba Parc […]

MECHI MBILI KUBWA ZA UEFA KURINDIMWA USIKU WA LEO Read More »

SADIO MANE KUKOSA NA WAWILI WENGINE KUKOSEKANA UEFA

Bingwa wa taji la Afcon mwaka 2021 mwite Sadio Mane atakosekana katika mechi ya leo ya klabu bingwa ulaya ambapo kikosi cha Bayern Munich Kitasafiri kwenda jijini Paris Ufaransa kuvaana na PSG. Sadio Mane amekuwa mkekani kwa kipindi cha miezi mitatu sasa baada ya kupata jeraha mwaka jana katika mechi za Bundesliga, jeraha ambalo lilimkosesha

SADIO MANE KUKOSA NA WAWILI WENGINE KUKOSEKANA UEFA Read More »