BODABODA KUSHIRIKI LIGI YA FKF
Muungano wa Bodaboda katikaeneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi wikendi hii utakuwa unaadhimisha mwaka mmoja wa kuundwa kwa kikosi cha soka na muungano huo maarufu kama MAUMORI Sports Clubs. Kulingana na mwenyekiti wa Bodaboda hao Nzai Randu ni kuwa wamepanga mechi ya kirafiki itakayochezwa hiyo kesho katika uwanja wa Alaskan dhidi ya timu ya […]
BODABODA KUSHIRIKI LIGI YA FKF Read More »



