TUNACHEZA KUJIPIMA – ENGIN FIRAT

Mkufunzi mkuu wa timu ya taifa ya Harambee stars anasema kuwa mechi ya kirafiki dhidi ya Iran itakayochezwa usiku wa leo ni ya kujipima nguvu na uwezo wao katika mashindano ya kimataifa. Harambe Stars tayari wako Iran na watakuwa wanashuka dimbani na Iran ambao wanasimama katika nafasi ya 21 katika viwango vya fifa na mkufunzi […]

TUNACHEZA KUJIPIMA – ENGIN FIRAT Read More »