HARAMBEE STARS WALICHEZA VIZURI LICHA YA KUPOTEZA – ENGIN FIRAT
Mkufunzi Engin Firat amesema kwamba amefurahishwa na matokeo yajana ya vijana wake wake Harambee Stars licha ya kwamba walipoteza kwa mabao 2-1 dhidi ya timu ya taifa ya Iran. Mkufunzi huyo amesema kwamba vijana wake walionyesha mchezo mzuri licha ya kwamba wamekaa muda mrefu nje ya soka la kimataifa. Mkufunzi huyo amesistiza kwamba vijana wake […]
HARAMBEE STARS WALICHEZA VIZURI LICHA YA KUPOTEZA – ENGIN FIRAT Read More »



