DROO YA CHAN KUFANYWA LEO
Droo ya mashindano ya mwaka huu ya CHAN inatarajiwa kufanyika rasmi hii leo mwendo wa saa mbili usiku katika ukumbi wa KICC jijini Nairobi. Haya yanajiri licha ya jana shirikihso la soka barani Afrika Caf kuthibitisha kuwa mashindano hayo ya CHAN mwaka huu wameahirishwa hadi mwezi Agosti ili kuyapa mataifa andalizi ambayo ni Kenya, Uganda […]
DROO YA CHAN KUFANYWA LEO Read More »



