Paps Mkare

USALAMA KUIMARIKA KATIKA KIJIJI CHA KIRAHO

Usalama unatarajiwa kuzidi kuimarika katika kijiji cha kiraho, wadi ya mji wa malindi kaunti ya Kilifi baada ya mwakilishi wadi wa eneo hilo Rashid Odhiambo kuingilia kati Ukukarabati wa taa la mulika mwizi lililokuwa limeharibika kwa takriban miaka mitatu. Akizungumza baada ya kufanikisha ukarabati huo alasiri ya leo Odhiambo amethibitisha kuwa amekuwa akifanya vikao vya […]

USALAMA KUIMARIKA KATIKA KIJIJI CHA KIRAHO Read More »

KIMANZI ANA IMANI NA KIKOSI CHA STARS

Kocha wa muda wa timu ya taifa Fransis Kimanzi anasema yuko na imani kikosi chake kesho kitaandikisha matokeo mazuri dhidi ya Kilimanjaro Boys katika mashindano ya Mapinduzi Cup yanayoendelea Zanzibar. Kulingana na Kimanzi ni kuwa ni licha yamajeruhi machache yaliyopo kikosini bado vijana wameonyesha motisha wa kuzalisha alama tatu hiyo kesho. ”Licha ya majeraha madogomadogo

KIMANZI ANA IMANI NA KIKOSI CHA STARS Read More »