FEYSWAL ANGEKUWA KISUMUNDOGO UNITED
Kocha wa klabu ya Kisumu Ndogo United Jackson Kalinga amethibitisha kuwa kabla ya Feyswal Dzuya mchezaji wa klabu ya SS Assad kuhamia kwale kutoka GFC ya Gongoni, magarini kaunti ya Kilifi, Kisumu ndogo United ilimmezea kate mchezaji huyo ili kuimarisha kikosi chao. Kulingana na Kalinga kikwazo kikubwa wakati huo ilikuwa sheria za FKF ambazo zilipinga […]
FEYSWAL ANGEKUWA KISUMUNDOGO UNITED Read More »



