MASHABIKI WA SOKA KURAHISISHIWA VAR
Bodi ya kimataifa ya chama cha soka ya IFAB inayohusika na sheria za kandanda imependekeza kuwepo kwa mawasiliano kwenye viwanja kuhusu uamuzi wa video ili mashabiki wajue kinachojadiliwa na maafisa wa VAR kabla maamuzi kufanyika wakati wa mechi. Hii inatokana na sintofahamu miongoni mwa mashabiki kila ambapo matukio mbali mbali yanatokea na mwamuzi pekee ndiye […]
MASHABIKI WA SOKA KURAHISISHIWA VAR Read More »



