TAKRIBANI MICHE 500 INATARAJIWA KUPANDWA KWENYE SHAMBA LA AKAMBA HANDCRAFT KAUNTI YA MOMBASA
Mwakilishi wa wadi ya kipevu kaunti ya Mombasa Leila Nyache ameshirikiana na machifu, wazee wa mitaa na mabalozi wa nyumba kumi kwenye zoezi la upanzi wa miti ndani ya shamba la AKAMBA HANDCRAFT eneo bunge la changamwe kaunti hiyo ya Mombasa. Akiongea na wanahabari wakati wa zoezi hilo leila amesema wanapania kupanda miti mia tano […]



