HABARI

KINADADA WASHAURIWA KUJIHUSISHA NA MICHEZO KILIFI

Ukosefu wa fedha za kuendesha shuhuli za michezo katika klabu ndio sababu kuu inayochangia klabu ya kinadada ya Malindi Starlets kusalia katika ligi ya mkoani kwa misimu miwili mfululizo bila kupanda. Akizungumza na tama la spoti jioni ya leo katika uwanja wao wa mazoezi wa Alaskan mjini Malindi, Neema Charo ambaye ni mkufunzi wa kinadada […]

KINADADA WASHAURIWA KUJIHUSISHA NA MICHEZO KILIFI Read More »

JOHN MTUTTA MRUTTU APINGA MADAI KUWA ALIFELI WAKATI WA UONGOZI WAKE KAMA GAVANA WA TAITA TAVETA

Aliyekuwa gavana wa kwanza katika kaunti ya Taita Taveta John Mtutta Mruttu amepinga madai kuwa serikali ya kaunti ya Taita Taveta wakati wa uongozi wake ilifeli katika zoezi la ukusanyaji wa ushuru katika masoko yaliyomo mpakani mwa kaunti hiyo ya Taita Taveta na kaunti nyinginezo. Mruttu amesema utata wa mipaka baina ya kaunti ya Taita

JOHN MTUTTA MRUTTU APINGA MADAI KUWA ALIFELI WAKATI WA UONGOZI WAKE KAMA GAVANA WA TAITA TAVETA Read More »

WANAOJIUNGA NA SHULE ZA UPILI WATAKIWA KUTOCHAPISHA FOMU KUHUSIANA NA SHULE WANAZOPASWA KUJIUNGA NAZO KAMA HAWARIDHISHWA

Wazazi wa wanafunzi wanaopaswa kujiunga na shule za upili mwaka huu wa 2023 wametakiwa kutochapisha fomu zilizo na taarifa kuhusiana na shule wanazopaswa kujiunga nazo, iwapo hawana uwezo ama hawajaridhishwa na taasisi hizo na badala yake waziwasilishe katika afisi za elimu kwenye maeneo yao. Haya ni kwa mujibu wa katibu wa muungano wa walimu wa

WANAOJIUNGA NA SHULE ZA UPILI WATAKIWA KUTOCHAPISHA FOMU KUHUSIANA NA SHULE WANAZOPASWA KUJIUNGA NAZO KAMA HAWARIDHISHWA Read More »