HABARI

IDADI KUBWA YA VIJANA KAUNTI YA TAITA TAVETA HUSHINDWA KUJIUNGA NA VYUO VYA KIUFUNDI

Asilimia kubwa ya vijana kaunti ya Taita Taveta hukosa kujiunga na vyuo vikuu na vyuo kiufundi baada ya kukamilisha kidato cha nne. Haya ni kwa mujibu wa naibu gavana kaunti hiyo Christine Kilalo ambaye amesema kuwa idadi hiyo kubwa hushindwa kujiendeleza kimasomo kufuatia ukosefu wa karo. Kilalo sasa amewashauri vijana hao waliomaliza kidato cha nne […]

IDADI KUBWA YA VIJANA KAUNTI YA TAITA TAVETA HUSHINDWA KUJIUNGA NA VYUO VYA KIUFUNDI Read More »

WITO WATOLEWA KWA SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI KIKIWEZESHA KIFEDHA KITUO CHA KUSAMBAZA MAJI YA KAMBICHA

Afisa msimamizi wa kituo cha usambazaji maji cha Kambicha, Magarini kaunti ya Kilifi Rajab Kazungu amesisitiza haja ya serikali ya kaunti ya Kilifi kukiwezesha kifedha kituo hicho. Kazungu amesema kuwa hatua hiyo itawawezesha kugharamia ada za nguvu za umeme sawia na kulipa wafanyikazi kwenye kituo hicho mbali na kuboresha huduma za usambazaji maji katika eneo

WITO WATOLEWA KWA SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI KIKIWEZESHA KIFEDHA KITUO CHA KUSAMBAZA MAJI YA KAMBICHA Read More »