HABARI

WACHEZAJI WAMEOLEWA, TUNATAFUTA WACHEZAJI WENGINE – JOYCE UNDA

Mkufunzi mkuu wa Kilifi Starlets Joyce Unda anasema sasa wanalenga kutafuta wachezaji wapya katika klabu hiyo ili kuchukua nafasi ya wachezaji walioondoka kujitafutia ajira na wengine kuolewa baada ya likizo ndefu msimu jana ulipotamatika. Klabu hiyo iliyopanda daraja hadi ligi ya mkoa imekosa wachezaji wa kutosha kuchezea klabu hiyo kutokana na hali ya uchumi na […]

WACHEZAJI WAMEOLEWA, TUNATAFUTA WACHEZAJI WENGINE – JOYCE UNDA Read More »

SERIKALI KUU YATAKIWA KUHIFADHI ARDHI ZOTE ZENYE UTATA KAUNTI YA LAMU

Wanaharakati wa maswala ya kijamii kaunti ya Lamu wameitaka serikali ya kitaifa kuhifadhi ardhi zote zinazokumbwa na utata wa umiliki katika kaunti hiyo. Wakiongozwa na Abdulwahid Mohamed, wanaharakati hao wamesema kuwa sehemu kubwa ya ardhi katika wadi ya Mkunumbi imegubikwa na kesi zilizowasilishwa mahakamani. Kufuatia hilo, Abdulwahid ameshinikiza serikali kutoa uhifadhi wa ardhi zote zenye

SERIKALI KUU YATAKIWA KUHIFADHI ARDHI ZOTE ZENYE UTATA KAUNTI YA LAMU Read More »