HABARI

IDARA YA ELIMU TAITA TAVETA YASEMA ITAHAKIKISHA WANAFUNZI WOTE WALIOMALIZA DARASA LA 8 WANAJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA

Mkurugenzi mkuu wa idara ya elimu eneo bunge la Taveta kaunti ya Taita Taveta Hassan Abdulraman amesema watahakikisha wanafunzi wote ambao walimaliza masomo ya darasa la 8 mwaka jana wa 2022 wanajiunga na shule za upili mwaka huu wa 2023. Kulingana na Hassan kila mtoto ana haki ya kusoma na kuwataka wazazi kwenye eneo hilo […]

IDARA YA ELIMU TAITA TAVETA YASEMA ITAHAKIKISHA WANAFUNZI WOTE WALIOMALIZA DARASA LA 8 WANAJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA Read More »

WITO WATOLEWA KWA VIONGOZI KUIMARISHA MICHEZO YA KINA DADA PWANI

Viongozi wa kaunti za pwani washauriwa kuimarisha michezo ya kinadada ili kuwaepusha vijana hao kutokana na majanga mengi katika jamii yakiwemo mimba za mapema. Wito huo umetolewa na mkufunzi wa klabu ya Malindi Progressive academy, Neema Charo ambaye amedai kwamba kijana wa kiumo kwa muda sasa amekuwa akiangaziwa katika michezo. Mkufunzi huyo anasema kwamba viongozi

WITO WATOLEWA KWA VIONGOZI KUIMARISHA MICHEZO YA KINA DADA PWANI Read More »