HABARI

UKOSEFU WA MAJI SAFI KWA MUDA MREFU WAZIDI KUWAATHIRI WENYEJI WA KINANGO

Wakaazi wa Kinango kaunti ya Kwale wamelalamikia ukosefu wa maji safi kwa muda wa miezi mitano mtawalia. Wakaazi hao wakiongozwa na Hamisi Mzungu wamewakosoa wasimamizi wa bodi ya usambazaji maji pwani sambamba na kampuni ya usambazaji maji kaunti hiyo ya Kwale Kwawasco. Wamesema wanapaswa kutafutiwa mwafaka wa haraka wakieleza kusikitishwa na swala kuwa chemchemi ya […]

UKOSEFU WA MAJI SAFI KWA MUDA MREFU WAZIDI KUWAATHIRI WENYEJI WA KINANGO Read More »

VIJANA WENGI KAUNTI YA TAITA TAVETA HUSUSIA KUJIUNGA NA TAASISI ZA ELIMU ZILIZOKO KWENYE KAUNTI HIYO

Mbunge wa Voi kaunti ya Taita Taveta Abdi Chome amesema wamebaini sababu zinazosababisha vijana wengi kususia kujiunga na taasisi za elimu zilizo katika kaunti hiyo. Chome amesema sababu mojawapo ni kwamba vijana wengi wanapania kujiunga na vyuo vya nje ya kaunti hiyo kutokana na swala kuwa masomo yao ya shule za msingi na sekondari walikuwa

VIJANA WENGI KAUNTI YA TAITA TAVETA HUSUSIA KUJIUNGA NA TAASISI ZA ELIMU ZILIZOKO KWENYE KAUNTI HIYO Read More »

HARAKATI ZA KUWASAKA WANAFUNZI WATAKAODINDA KUREJEA SHULENI WIKI IJAYO KUANZISHWA MALINDI

Naibu chifu wa Shella mjini Malindi kaunti ya Kilifi, Nicodemus Mwayele amesema kuwa wanalenga kuanzisha msako dhidi ya wanafunzi watakaokosa kurudi shule juma lijalo. Kwa mujibu wa Mwayele, tayari wamekamilisha vikao vya kuweka mikakati ya jinsi watakavyotekeleza shughuli hiyo kwa ushirikiano na wazee wa mitaa, waliokatika maeneo mbalimbali ya eneo bunge la Malindi. Akizungumza na

HARAKATI ZA KUWASAKA WANAFUNZI WATAKAODINDA KUREJEA SHULENI WIKI IJAYO KUANZISHWA MALINDI Read More »