MBUNGE WA MALINDI AMINA MNYAZI ASEMA KUNA HAJA YA WAKULIMA WA KAKUYUNI KUWEZESHWA
Ipo haja ya wakulima katika wadi ya Kakuyuni eneo bunge la Malindi kaunti ya Kilifi kuwezeshwa, ili kuhakikisha wanapata mazao bora katika mashamba yao. Ni kauli ya mbunge wa Malindi kaunti ya Kilifi, Amina Mnyazi ambaye amesema matatizo mengi katika eneo hilo, yatapata suluhu iwapo wananchi watakuwa na vyakula vya kutosha kutokana na kilimo wanachofanya. […]
MBUNGE WA MALINDI AMINA MNYAZI ASEMA KUNA HAJA YA WAKULIMA WA KAKUYUNI KUWEZESHWA Read More »



