VILABU VINNE VYA SOKA MAGARINI VYATIMBA LIGI YA KAUNTI
Vilabu vinne vya soka eneo bunge la Magarini vimepanda daraja hadi ligi ya kaunti ya Kilifi baada ya kuandikisha matokeo mazuri msimu uliopita. Klabu ya Lubumbashy ambayo ilishinda ubingwa wa mashindano ya Mini League mwaka jana, klabu ya Evergreen, Wakala City lakini pia Danforce ya Marafa ndio klabu zilizoingia katika ligi ya kaunti. Kulingana na […]
VILABU VINNE VYA SOKA MAGARINI VYATIMBA LIGI YA KAUNTI Read More »



