SHEKHUNA ABBAS ASEMA UKUZAJI WA TALANTA KAUNTI YA LAMU
Mwakilishi wa wadi ya Mkomani kaunti ya Lamu Shekhuna Abbas amesisitiza kuwa ukuzaji wa talanta na vipawa miongoni mwa vijana utasaidia pakubwa kukabiliana na utumizi wa dawa za kulevya. Abbas amesema ili kuafikia swala hilo ni sharti kuwe na ushirikiano baina ya viongozi na wakaazi wa eneo hilo. Mwakilishi wa wadi huyo pia amesema ukosefu […]
SHEKHUNA ABBAS ASEMA UKUZAJI WA TALANTA KAUNTI YA LAMU Read More »



