JAMAA AFIKISHWA MAHAKAMANI MJINI MALINDI KWA KOSA LA ULAWITI
Jamaa mmoja mwenye umri wa miaka 28 amefikishwa mahakamani hapa mjini Malindi kwa kosa la kuwalawiti watoto zaidi ya wawili katika eneo la Kisumu ndogo kati ya tarehe mosi Agosti mwaka jana na januari ya mwaka huu. Upande wa mashtaka umesema kuwa jamaa huyo kwa jina Mbauni Muriithi aliwahadaa wazazi wa watoto hao wa kiume […]
JAMAA AFIKISHWA MAHAKAMANI MJINI MALINDI KWA KOSA LA ULAWITI Read More »



