WEKEZENI MICHEZONI, ABABU ASHAURI KAUNTI
Waziri wa michezo Ababu Namwamba ameshauri serikali za kaunti kuwekeza zaidi katika miundo mbinu ya kuwezesha michezo katika kaunti zao. Amesema ipo haja ya kaunti kutenga pesa za kutengeneza viwanja vya kisasa ili kusaidia malezi ya talanta mbali mbali hapa nchini huku taifa la Kenya likilenga kutuma ombi kwa shirikisho la soka barani Afrika CAF, […]
WEKEZENI MICHEZONI, ABABU ASHAURI KAUNTI Read More »



