HABARI

JOHN MRUTTU ASEMA MZOZO KUHUSU MIPAKA KATI YA KAUNTI YA TAITA TAVETA NA ZILE ZINAZOPAKANA NA KAUNTI HIYO UNAPASWA KUTATULIWA KISHERIA

Aliyekuwa gavana wa kwanza wa kaunti ya Taita Taveta John Mruttu amesema mzozo kuhusiana na mipaka kati ya kaunti hiyo na zile zinazopakana na Taita Taveta utapata mwafaka kupitia sheria na sio mivutano. Mruttu amesema migogoro hiyo inakumba mipaka ya kaunti ya Taita Taveta, Kajiado, Kwale na Makueni itapata mwafaka iwapo viongozi wa kaunti hizo […]

JOHN MRUTTU ASEMA MZOZO KUHUSU MIPAKA KATI YA KAUNTI YA TAITA TAVETA NA ZILE ZINAZOPAKANA NA KAUNTI HIYO UNAPASWA KUTATULIWA KISHERIA Read More »

SERIKALI NA MASHIRIKA MBALIMBALI YATAKIWA KUSAIDIA KATIKA KUTOA CHAKULA CHA MSAADA KAUNTI YA TANA RIVER

Mkurugenzi wa shirika la Msalaba mwekundu kaunti ya Tana River Gerald Bombe ametoa wito kwa mashirika mbalimbali pamoja na serikali kusaidia katika kutoa chakula cha msaada kwa wananchi ambao wanaendelea kuathirika na baa la njaa nchini. Bombe amesema zaidi ya wenyeji laki moja katika kaunti ya Tana River waliathirika na baa la njaa kufikia mwishoni

SERIKALI NA MASHIRIKA MBALIMBALI YATAKIWA KUSAIDIA KATIKA KUTOA CHAKULA CHA MSAADA KAUNTI YA TANA RIVER Read More »

LIGI ZITAANZA MWISHO WA MWEZI WA JANUARI – MWABATI

Mwekahazina wa shirikisho la soka la FKF tawi la eneo bunge la Malindi Jonson Mwabati amehakikishia vilabu vya mashinani kwamba masimu mpya wa ligi hiyo utaanza rasmi mwishoni mwa mwezi huu wa Januari. Akizungumza na tama la spoti jana katika uwanja wa shule ya upili ya wavulana ya Malindi alisema kwamba kwa sasa vilabu vingi

LIGI ZITAANZA MWISHO WA MWEZI WA JANUARI – MWABATI Read More »